+255 788889803
SW | EN
Sajili Sasa kwa Muhula Mpya

Mwangaza wa Elimu na Mustakabali Mwema

Karibu ELOHIM UNIVERSITY OF AFRICA. Tunatoa elimu bora ya nadharia na vitendo ili kukuandaa kikamilifu na huduma pamoja na soko la ajira.

55+
Watembeleaji
2
Mitaala na Kozi Zinazotolewa
50+
Picha za Matukio Yetu
Elimu yenye Maadili

Kuhusu ELOHIM UNIVERSITY OF AFRICA

Sisi ni Nani?

Elohimu College Tanzania ni taasisi ya elimu ya juu iliyosajiliwa rasmi ikilenga kutoa mafunzo yenye viwango vya juu vya ubora nchini Tanzania. Tumejikita kwenye kuwajengea wanafunzi wetu uwezo wa kitaaluma, kiroho, na uongozi uliotukuka.

Dira Yetu (Vision)

"Kuwa chuo kiongozi nchini Tanzania kinachozalisha wataalamu wabunifu na wenye maadili mema."

Dhima Yetu (Mission)

"Kutoa elimu bora na mafunzo ya vitendo yanayoendana na mabadiliko ya kiteknolojia na mahitaji ya jamii."

Mitaala na Kozi Zinazotolewa

Bonyeza kifungo kuchagua ngazi ya masomo unayotaka kuona mchanganuo wake

Certificate Level

Orodha ya Masomo (Kozi 13)

1

Introduction to Bible

2

Old Testament Survey

3

New Testament Survey

4

Christology

5

Hermeneutics

6

Church History I

7

Homiletics

8

Leadership

9

Evangelism and Church Planting

10

Family and Home Life

11

Acts of the Apostle

12

Pastoral Ministry

13

Field Practicum (Mafunzo kwa Vitendo)

Habari na Matukio ya Karibuni

Fuatilia matukio, taarifa na habari mpya kutoka ELOHIM UNIVERSITY OF AFRICA

Picha za Matukio Yetu

Angalia baadhi ya picha za matukio, mahafali na maisha ya chuo

Jiunge na Jarida Letu

Pata taarifa mpya, matukio na habari moja kwa moja kwenye email yako.